Watu 80 wapoteza maisha yao ya zamani!

Huko Tarime, karibu na mpaka wa Kenya, zaidi ya watu 80 walibatizwa kwa jina la Yesu, na hivyo kuzika maisha yao ya zamani ya dhambi na kufufuka na Yesu kwa maisha mapya, baada ya hapo wamesikia injili kamili ya kuokoa.


Acha maoni